Aloe ever-shield deodorant ina aloe vera ya asili
inayoua vijidudu na inayoondoa harufu mbaya katika makwapa,haina chumvi
chumvi za Aluminium wala anti-pespirant(haizibi vitundu vya ngozi).
Chumvi za Aluminium ni sumu na huaribu mfumo wa fahamu,huvuruga kiwango
cha calcium kwenye mwili na hivyo kuathiri parathyroid gland.
Parathyroid
gland ikizidi husababisha maumivu,magonjwa ya akili,miwasho,majipu na
vimbe.
Haina Alcohol wala anti-perspirant hivyo haiharibu ngozi wala
kuziba vitundu, pia haichomi na hutumika hata baada ya kunyoa nywele za
makwapani.
BEI: 12,000/=Tsh