FOR YOUR ALOE PERSONAL CARE AND BEAUTY PRODUCTS CALL OR SMS # +255 783 992 506 E-mail:pmdadila@gmail.com
Thursday, October 24, 2013
AVOCADO FACE AND BODY SOAP


Natural beauty starts with clean, healthy skin. And clean,
healthy skin starts with nature. For over 30 years, Forever Living
Products has been a leader in finding and prefecting natural sources for
softer, smoother, beautiful skin. Our Avocado Face & Body Soap is a
perfect example.
Made with 100% pure avocado butter, Avocado
Face & Body Soap loves your skin, moisturizing as it cleans with the
natural rejuvenating properties of this powerful fruit. Avocado offers
relief for almost every skin type, gently clenseing oily skin with no
irritation to keep pores clear and healthy. For dry, sensitive skin, it
smoothes quickly and penetrates to nourish and moisturize.
And
because it’s a moisturizer and a cleanser, Avocado Face and Body Soap
continues working after you bathe. The fresh citrus scent is a gentle
reminder that it’s helping to keep your skin soft, supple and healthy
all day long.
Avocado is a rich source of vitamins A, B, D and E.
Contains antioxidants to help combat free radicals
ALOE JOJOBA SHAMPOO/ ALOE JOJOBA CONDITIONING RINSE
Bei:30,000/=
Zina Stabilized Aloe Vera Gel ya asili na jojba oil zinzofanya shampoo na conditioner hii ziwe na ubora wa pekee.
Ni nzuri kutumiwa kwa nywele za aina yoyote ile
Hazina kemikali yoyote iliyoongezwa na zina PH iliyosawa na ngozi.
Haipaushi nywele na hufanya nywele ziwe na unyevu na mng'ao unaotakiwa.
Huzilinda nywele na kuondoa hali ya umeme zikiguswa(Electrostatic charges).
Hufanya nywele zisikatike ovyo na hurefusha nywele.
Bei:30,000/=
FAIDA:HUONDOA MBA NA MIWASHO,PSORIASIS,ECZEMA NA KUFANYA NYWELE ZIOTE NA KUREFUKA BILA KUKATIKA
25th EDITION PERFUME SPRAY FOR WOMEN AND MEN

Allure your senses with the fresh and aromatic fragrance of 25TH Edition® Perfume Spray for Women. Expertly blended and created especially for Forever Living, each scent captures its essence in a subtly pleasing elixir.
25TH Edition® for Women is a fresh, white floral bouquet that blends sheer petals with warm, musky woods to create a soft and deep feminine character. This unique bouquet begins with captivating floral notes of cactus flower and sparkling yellow freesia threaded with ivy leaves, for a lush green accent. In the heart, a transparent white floralcy shines through with a bouquet of rose petals, star jasmin, white lily and magnolia. The finishing touch of cherry wood, skin musk and patchouli captures the feminine sensuality and illuminates the bright floral fragrance.

Allure your senses with the fresh and aromatic fragrances of 25TH Edition® Cologne Spray for Men. Expertly blended and created especially for Forever Living, each scent captures its essence in a subtly pleasing elixir.
25TH Edition® for Men is a fluid, aromatic fougère fragrance with a sensuous masculine blend of fruity, herbaceous and woody notes that are forever fresh and long lasting. The topnote blends aromatic notes of crushed basil and Mediterranean lavender with a refreshing combination of iced pineapple and Calabrian bergamot. The slightly fruity aromatic impression continues into the heart, where geranium and tea leaves are accented by Granny Smith apple. The fragrance evolves to reveal a masculine base of oakmoss, Mysore sandalwood, sensual musks, Virginian cedarwood, and tonka bean.
GENTLEMAN'S PRIDE
Ina Aloe vera iliyo nzuri kupakwa baada ya kunyoa(Aftershave)
Huboresha ngozi na haina alcohol
Ni nzuri sana kupaka kwenye ngozi ya aina yoyote ile baada ya kunyoa.
Huondoa athari zote mbaya zitokanazo na kunyoa ndevu na wembe kwenye uso,shingo na sehemu nyingine za mwili.
Bei:25,000/=
Wednesday, October 16, 2013
FOREVER BRIGHT TOOTHGEL

Bidhaa Ya Kusafisha Meno Iliyotengenezwa Kutokana Na Stabilized Aloe Vera Gel Pamoja Na Bee Propolis Hivyo Huua Bacteria Na Vijidudu Vyote.
Inangarisha Meno Bila Kuchuna Tabaka La Juu La Meno-ENAMEL
Huzuia Meno Yasitoe Damu,Kuponya Vidonda Vya Mdomoni Na Endapo Kuna Maumivu Mdomoni Unaweza Kupaka Kwenye Meno Moja Kwa Moja Bila Kupiga Mswaki.
Husaidia Kusafisha Fizi Na Kuzifanya Tishu Zake Ziwe Na Afya Na Imara.
BEI:13,000/=Tsh
ALOE LIQUID SOAP
Ni Sabuni Ya Maji Ya Aloe Vera Inayofaa Kuoshea Uso,Mikono Na Kuogea
Ni Nzuri Sana Kuogeshea Watoto Kwa Kuwa Haitoi Machozi Na Hufanya Ngozi Yake Iwe Laini Na Yenye Unyevu Unaofaa
Husaidia Matatizo Ya Ngozi Kama Pumu Ya Ngozi-Eczema,Psoriasis,Dermatitis.
Haiwashi,Inafaa Sana Kwa Ngozi Yoyote Kwa Kuwa Ina PH Sawa Na Ngozi Na Hii Usaidia Kupenya Kwenye Ngozi Na Kutoa Uchafu Wote Uliojificha.
Inaweza Kutumika Kunyolea Ndevu.
Huacha Ngozi Ikiwa Laini Sana Na Ya Kuvutia.
FAIDA YAKE:HUSAFISHA SEHEMU YOYOTE YA MWILI.
BEI:20,000/=Tsh
ALOE BATH GELEE

“Stabilized Aloe Vera Gel Iliyochanganywa Na Mimea Mingine Ya Asili Inayoboresha Usafishaji Wa Taka Na Kumfanya Mtumiaji Ajisikie Msafi,Ameburudika,Ameondoa Uchovu Na Kujisikia Raha.
Yaweza Kutumiwa Kama Shower Gel,Kuoga Kwenye Bomba Mvua,Inaondoa Seli Zilizochoka Na Kuacha Ngozi Katika Hali Nzuri Na Hai.
BEI: 30,000/=Tsh
ALOE LIPS

Ni Bidhaa Ndogo Lakini Inatumika Kwa Huduma Ya Kwanza,Ina Aloevera,Jojoba Oil Na Nta Ya Nyuki Ambayo Husaidia Kulainisha, Kuboresha Midomo Na Ngozi Kwa Ujumla.
Husaidia Kuondoa Mipasuko Ya Midomo,Ukavu,Vidonda Na Michubuko
Pia Husaidia Na Kuondoa Maumivu Na Kuponya Watu Walio Jikata.Kung’atwa Na Wadudu Na Kuungua Moto.
Bidhaa Hii Ikipakwa Mwilini Husaidia Kufukuza Mbu.
Kwa Wenye Matatizo Ya Kuvimba Sehemu Ya Haja Kubwa (Haemorrhoids),Ikipakwa Husaidia Kuua Bacteria Na Kuondoa Uvimbe.
BEI: 6,000/=Tsh
Subscribe to:
Posts (Atom)