Wednesday, October 16, 2013

ALOE LIQUID SOAP



 

Ni Sabuni Ya Maji Ya Aloe Vera Inayofaa Kuoshea Uso,Mikono Na Kuogea



Ni Nzuri Sana Kuogeshea Watoto Kwa Kuwa Haitoi Machozi Na Hufanya Ngozi Yake Iwe Laini Na Yenye Unyevu Unaofaa



Husaidia Matatizo Ya Ngozi Kama Pumu Ya Ngozi-Eczema,Psoriasis,Dermatitis.



Haiwashi,Inafaa Sana Kwa Ngozi Yoyote Kwa Kuwa Ina PH Sawa Na Ngozi Na Hii Usaidia Kupenya Kwenye Ngozi Na Kutoa Uchafu Wote Uliojificha.



Inaweza Kutumika Kunyolea Ndevu.



Huacha Ngozi Ikiwa Laini Sana Na Ya Kuvutia.



FAIDA YAKE:HUSAFISHA SEHEMU YOYOTE YA MWILI.

BEI:20,000/=Tsh

No comments:

Post a Comment