
Ni Bidhaa Ndogo Lakini Inatumika Kwa Huduma Ya Kwanza,Ina Aloevera,Jojoba Oil Na Nta Ya Nyuki Ambayo Husaidia Kulainisha, Kuboresha Midomo Na Ngozi Kwa Ujumla.
Husaidia Kuondoa Mipasuko Ya Midomo,Ukavu,Vidonda Na Michubuko
Pia Husaidia Na Kuondoa Maumivu Na Kuponya Watu Walio Jikata.Kung’atwa Na Wadudu Na Kuungua Moto.
Bidhaa Hii Ikipakwa Mwilini Husaidia Kufukuza Mbu.
Kwa Wenye Matatizo Ya Kuvimba Sehemu Ya Haja Kubwa (Haemorrhoids),Ikipakwa Husaidia Kuua Bacteria Na Kuondoa Uvimbe.
BEI: 6,000/=Tsh
No comments:
Post a Comment