GENTLEMAN'S PRIDE

Ina Aloe vera iliyo nzuri kupakwa baada ya kunyoa(Aftershave)
Huboresha ngozi na haina alcohol
Ni nzuri sana kupaka kwenye ngozi ya aina yoyote ile baada ya kunyoa.
Huondoa athari zote mbaya zitokanazo na kunyoa ndevu na wembe kwenye uso,shingo na sehemu nyingine za mwili.
Bei:25,000/=
No comments:
Post a Comment