FOREVER BRIGHT TOOTHGEL
Bidhaa Ya Kusafisha Meno
Iliyotengenezwa Kutokana Na Stabilized Aloe Vera Gel Pamoja Na Bee Propolis
Hivyo Huua Bacteria Na Vijidudu Vyote.
Inangarisha Meno Bila Kuchuna
Tabaka La Juu La Meno-ENAMEL
Huzuia Meno Yasitoe Damu,Kuponya Vidonda Vya Mdomoni
Na Endapo Kuna Maumivu Mdomoni Unaweza Kupaka Kwenye Meno Moja Kwa Moja Bila
Kupiga Mswaki.
Husaidia Kusafisha Fizi Na
Kuzifanya Tishu Zake Ziwe Na Afya Na Imara.
BEI:13,000/=Tsh
No comments:
Post a Comment