Bei:30,000/=
Zina Stabilized Aloe Vera Gel ya asili na jojba oil zinzofanya shampoo na conditioner hii ziwe na ubora wa pekee.
Ni nzuri kutumiwa kwa nywele za aina yoyote ile
Hazina kemikali yoyote iliyoongezwa na zina PH iliyosawa na ngozi.
Haipaushi nywele na hufanya nywele ziwe na unyevu na mng'ao unaotakiwa.
Huzilinda nywele na kuondoa hali ya umeme zikiguswa(Electrostatic charges).
Hufanya nywele zisikatike ovyo na hurefusha nywele.
Bei:30,000/=
FAIDA:HUONDOA MBA NA MIWASHO,PSORIASIS,ECZEMA NA KUFANYA NYWELE ZIOTE NA KUREFUKA BILA KUKATIKA
No comments:
Post a Comment